Magole SDA church,Mtaa wa Mzinga,Kata ya kivule,Mkoa wa Dare es Salaam info@magolesdachurch.org,255710288258
Tufatilie:
Kuhusu Magole SDA Church

Washiriki wa kanisa la Magole wanafanya jukumu la

kuwasidia watu kumjua yesu na mwokozi wa maisha yao pamoja na kuwafundisha nijia ya wokovu

lengo kuu la Kanisa

Magole SDA church unaeza kutufatilia kwa kufika kanisani au kupitia mitandao ya kijamii na tuvuti yetu

Karibu sana
Wasiliana nasi
Tunafanya nini

Jifunze zaidi nini kanisa la magole linafanya

Kuhubiri injili

Kanisa linaeneza injili kupitia mikutano mbalimbali ya hadhara panoja na nyumba kwa nyumba

Soma zaidi

Kusaidia wasio jiweza

kanisa limekuwa likisaidia wahitaji mbalimbali kupitia idara zake

soma zaidi

Kufanya miradi ya maendeleo ya kanisa

Kanisa limekuwa na mipango ya kundeleza malengo mbalimbali ya kanisa kama vile Ujenzi wa kanisa jipya

Learn More
Viongozi wa Kanisa mwaka 2025

Kutana na Viongozi wa kanisa mwaka 2025 ambao bwana ameridhia watumika katika kazi yake

Yohana Adhumani

Mzee kiongozi

Shadrack chota

Mzee wa kanisa

Charles Mkohi

Mzee wa kanisa

Asie julikana

Muhazini wa kanisa